social network

Instagram: Alichokiandika Baraka baada ya kupost picha na Meneja wa Diamond

By

on

Baraka the Prince anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kupost picha kwenye mtandao wake wa Instagram yuko na manager wa msanii Diamond Platnumz, Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakicomment kwenye picha hiyo wakishangazwa na Baraka kupost picha akiwa na Babu Tale.

barakahtheprince_ With @babutale kuna ule wimbo wa @billnass naupenda sana / #Mazoea
#Acha_Niende link kwa bio yangu #Bana#crownprince  #IamPrince #RockStar4000

Ulimiss hii ya Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, Niende Ya Moto Band itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments