Habari za Mastaa

Audio: Nimekutana na cover ya ‘Lover boy’ ya Barnaba iliyoimbwa na msichana, inaitwa ‘Lover girl’

on

Tumezoea kuona utaratibu wa watu kuzifanyia cover (kurudia nyimbo za wasanii) ambazo zinafanya vizuri. Hii imekuwa kawaida sana kwenye mataifa ya wenzetu lakini kadri siku zinavyoenda na bongo pia hii inaonekana kuwa kawaida.Inawezekana umekutana na cover mbalimbali ambazo baadhi ya watanzania wamezifanya  lakini sio nyimbo za wasanii wa bongofleva.

Nimekutana na hii cover ya wimbo wa ‘Lover boy’ wa Barnaba ambayo imefanywa ama imerudiwa na  Mimmah Shafie nikaona sio mbaya kukusogezea na wewe pia mtu wangu.

Unaweza  kuisikiliza kwa kubonyeza PLAY hapa chini usiache kuniachia  comment yako pia ili Mimmah akisoma ajue ni vipi watanzania wameipokea hii>>>

Video : Dakika kumi za Barnaba kwenye Exclusive Interview na AyoTV, kuhusu studio yake na mengine >>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments