Kwa bahati mbaya mchezo wa jana haukuwa mzuri kwa Simba SC lisha ya kuongoza kwa kipindi cha kwanza lakini Yanga waliporudi kipindi cha pili walifanya mabadiliko na kushinda magoli 2 dhidi ya Simba 1.
Sasa hapa nimekusogezea stori ufahamu alichokisema Barbara baada ya mchezo huo.