Habari za Mastaa

Barnaba anayo furaha kukuletea hii single yake mpya ‘Lover Boy’

on

Msanii Barnaba classic ameziandika headlines leo August 10 2016  kwenye Bongo Fleva kwa kuachia single mpya iitwayo ‘Lover Boy‘ nimekuwekea hapo chini mtu wangu na wewe uweze kuenjoy.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya

ULIKOSA KUISIKILIZA AUDIO YA BARNABA KUHUSU MIPANGO YAKE YA KUANZIA KANISA LA KUABUDU? UNAWEZA KUISIKILIZA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments