Michezo

Barcelona na Juventus wauziana Arthur na Pjanic

on

Club ya Juventus imemsajili Arthur  Melo kutoka FC Barcelona kwa euro milioni 72, FC Barcelona wamemsajili Miralem Pjanic kutokea Juventus kwa Euro milioni 60.

Uhamisho huo umekuja baada ya timu zote mbili kukubaliana kuuziana wachezaji hao ambao wanaingia katika list ya kupata nafasi ya kucheza na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwa nyakati mbili tofauti.

Soma na hizi

Tupia Comments