Michezo

Wachezaji wa FC Barcelona walipokutana na mabingwa wa NBA, Iniesta, Busquet na Pique waliweza Basketball?

on

2015-07-23_ENTRENO_48.v1437689442

Pique kushoto akiwa na kombe la NBA, Harrison Barnes katikati akiwa na kombe la URFA na Busquet kulia akiwa na mpira wa Basketball

Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo ipo Marekani kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Hispania imezidi kujenga uhusiano mzuri na NBA Barcelona siku chache zilizopita ilimualika mkali wa Basketball anayeichezea Los Angels Lakers Kobe Bryant kutembelea timu yao wakati wa mazoezi sambamba na kutazama mataji yao.

CKpPnucWEAAnvrJ

July 23 FC Barcelona ilitembelea  San Francisco State University mahali ambapo ilikutana na mkali mwingine wa Basketball Harrison Barnes wa Golden State Warrios akiwa na kombe la NBA walilotwaa mwaka huu, huku Fc Barcelona wakiwa na kombe la klabu bingwa barani Ulaya.

CKnwH_NWEAAlrpU

Kitu kilichovutia zaidi pale Harrison Barnes alipokuwa anawafundisha Iniesta, Busquets na Pique namna ya kucheza Basketball lakini Gerard Pique ndiye alionekana kuelewa haraka mafunzo ya mchezo huo.

CKnwH_NWEAAlrpU

1724414_1019640838080044_2059384265_n

2015-07-23_ENTRENO_49.v1437689446

CKnr5xgWgAAYOvx

11356570_859414310818080_630464025_n

10950442_468659939962684_433280039_n

2015-07-23_ENTRENO_43.v1437689423

2015-07-23_ENTRENO_47.v1437689439

2015-07-23_ENTRENO_18.v1437689401

2015-07-23_ENTRENO_19.v1437689405

2015-07-23_ENTRENO_39.v1437689409

2015-07-23_ENTRENO_41.v1437689416 (1)

2015-07-23_ENTRENO_41.v1437689416

@fcbarcelona-and-@warriors-tourFCB-MeetTheChampions

2015-07-23_ENTRENO_10.v1437693734 (1)

2015-07-23_ENTRENO_15.v1437689386

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments