Habari za Mastaa

Baada ya #SIRI na Vee Money, Barnaba katuletea hii video mpya – ‘Suna’

on

barnabaHazijapita siku nyingi sana toka tumuone kwenye collabo ya video ya wimbo wa ‘Siri’ ambayo Barnaba ameshirikiana na Vanessa Mdee.

Ni leo hii hii tumeipata VIDEO mpya ya Diamond Platnumz Feat. Khadija Kopa, nyingine tena ni hii kutoka kwa Barnaba.. Hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Suna‘.

Kazi ya VIDEO imefanywa na Director Nick Dizzo.

Tumia time yako kuitazama hapa chini kwa kubonyeza play mtu wangu…

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments