Habari za Mastaa

U-HEARD: Alichokisema Barnaba baada ya kuhusishwa kuwa mapenzini na Rachel

on

U-heard ya leo March 2, 2017 inamuhusu staa mwimbaji Barnaba Classic  ambaye ameendelea kuzichukua headlines za burudani, na leo Soudy Brown ameipata hii kuhusu staa huyo kuachana na mke wake huku ikidaiwa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji Rachel.

Soudy Brown alipiga story na Barnaba ili kupata ukweli juu ya hili na Barnaba alijibu >>>”Kwenye maisha yangu sijawahi kuchepuka na Rachel ni dada yangu, tunafanya kazi pamoja na ana mume wake na mimi nina mahusiano yangu na familia yangu. Kwa hiyo sichepuki na Rachel.”

“Hayo ni ya kwako sasa, mimi siwezi kuingilia ya Mwijaku; Mwijaku siyo mpenzi wake ni rafiki yake na mimi Rachel mara nyingi ni mshikaji wangu kama ulivyoona pale namuita Crush, na crush ni mtu ambaye unampenda, tunapendana kama mtu na kaka yake, kwa hiyo watu wasi-include kama tuna mahusiano na sisi na mama watoto wangu hatujawahi kugombana.” – Barnaba

Bonyeza Play kusikiliza full story

 

BASATA: kuhusu ishu ya Nikki Mbishi na kwenda Central Police

Soma na hizi

Tupia Comments