Habari za Mastaa

Kuwa wa kwanza kusikiliza kionjo cha Wimbo mpya wa Barnaba unaoitwa Jasho la Mnyonge.

By

on

barnabaBarnaba Classic moja ya wasanii kutoka jumba la vipaji T.h.t. ameipa Exclusive millardayo.com kwa kutoa kionjo cha wimbo wake mpya wenye jina la Jasho la Mnyonge,Audio hii imekamilika na imefanywa na Tuddy Thomas kwenye studio za Soround Sound Studio kwa sasa inasubiriwa tarehe rasmi ya kuachiwa.

Zitumie sekunde hizi 36 kusikiliza kilichoimbwa kwenye huu wimbo.

Tupia Comments