Habari za Mastaa

Barua ya Mtoto wa Shilole kwa mama yake, Shishi aomba msaada tutani

on

Ikiwa leo May 10, 2020 siku ya Mama Dunia watu mbali mbali wameendelea kuwashukuru mama zao kwamalezi na jinsi walivyowapambania kwenye ukuaji wao.

Wakati wengine wakifanya hivyo mtoto wa msanii Shilole ameamua kumuandikia ujumbe huu mama yake kwa lugha ya kingereza kitu kitu kilichopeleka shishi kuomba msaada wa tafsiri ya lugha hiyo.

…>>>”Waungwana msaada tutani 😂😂Naona joyce kanyoosha bila kujali mlipa Ada kaishia darasa la saba B
Ni siku ya Mama Duniani, kama mama nimepokea barua hizi kutoka kwa wanangu. 

“Ni kati ya mambo mema niliyowahi kushuhudia katika uhai wangu, namshukuru Allah kwa neema hii ya watoto. Mwanangu #Joyce asante. Japo kwa kweli hicho kingereza tumechoshana, hivyo hivyo nimeokota na nimekuelewa mwanangu. I am proud of you, Mama loves you so much“ – Shilole

Bonyeza PLAY kuona Barua ya mtoto wa Shilole.

Soma na hizi

Tupia Comments