Top Stories

BASATA yakanusha kuufungia wimbo wa Lady Jay Dee

on

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa nchini, limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa kuwa BASATA imeufungia wimbo ‘One Time’ wa Msanii Judith Wambura almaarufu Lady Jay Dee siza kweli.

RAIS MAGUFULI ALIVYOPIGA PUSH UP TANGA, KUPIGA NGOMA

Soma na hizi

Tupia Comments