AyoTV

VIDEO: Mbunge aliyehoji Wananchi kupewa siku 3 za kuondoka

on

Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa alilazimika kusimama Bungeni Dodoma na kutoa taarifa ya Wananchi jimboni kwake kutakiwa kuondoka katika makazi yao ndani ya siku tatu agizo lililotolewa na Wizara ya Maliasili na utalii.

MAGAZETI:Saba yatakayozuia Hotuba ya Lema, Mkaguzi vyeti naye atajwa katika walioguhushi.

Soma na hizi

Tupia Comments