Top Stories

Bashe atoa maagizo “msilazimishe, tunatekeleza maagizo ya Rais Magufuli” (+video)

on

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (MB) amesema lengo la kuanzishwa kwa M-Kilimo ni kutekeleza maagizo ya Rais aliyeagiza wananchi kuwa na uwezo wa kusafirisha mazao kadri wawezavyo bila kulipa kodi kwa mazao ambayo ni chini ya Tani 1 pamoja na Kupunguza usumbufu kwa wakulima.

TBS WAZUNGUMZIA FAIDA ZA KUJISAJILI ONLINE “JANGA KUBWA LA CORONA TEHAMA INASAIDIA”

Soma na hizi

Tupia Comments