Mix

VIDEO: “Tuna tatizo kubwa kwenye malengo ya Rais” – Bashe

on

May 18, 2017 Wabunge walikuwa wakichangia Mapendekezo yao katika Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na kati ya waliopata nafasi hiyo alikuwa Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ambaye alitoa ushauri kwa Serikali namna bora ya kutimiza malengo ya serikali ya viwanda nchini.

VIDEO: Man Water kaelezea ‘Kazi ya Dukani’ na alivyokutana na Dogo Mfaume 

Soma na hizi

Tupia Comments