Top Stories

Bashiru akutana na Mabalozi wanaounda jumuiya ya Umoja wa Ulaya (+picha)

on

Katibu Mkuu CCM Dr. Bashiru leo amekutana na Mabalozi wanaounda Jumuiya Umoja wa Ulaya (EU), wamekutana na kuzungumza katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba jijini DSM.

Mabalozi waliofika ni Balozi wa Germany, Ireland, Italy, Netherlands, Poland, Sweden, Belgium, Denmark.

“Tumekuwa na mazungumzo na mabalozi wanaotoka Umoja wa Ulaya (EU) na wote wametupongeza na wametutakia kila la kheri tuwe na uchaguzi huru wa haki na wa amani na sisi tumewaahidi Watanzania wako tayari kufanya uchaguzi kwa amani.”– Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM

INASHANGAZA MAFUVU ZAIDI YA 20 YALIYOKUTWA NYUMBANI KWA NYERERE “YAMEZIKWA KABURI MOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments