Katibu Mkuu wa Dkt. Bashiru Ally amekemea watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama alivyofanya anayejiita Kigogo katika mtandao wa twitter alipotoa taarifa za uongo za kifo cha Mtendaji wa Jumuiya ya CCM wilayani Rombo.
Ameyasema hayo alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la CCM Mkoa wa Pwani.