Top Stories

Bashungwa atangaza marekebisho ya Sheria ya pombe za kienyeji (+video)

on

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ametembelea Kiwanda cha kutengeneza mvinyo wa asili kilichopo Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera na kueleza juu ya marekebisho ya Sheria inayosimamia Vinywaji hivyo.

MWENYEKITI AWEKA WAZI SABABU YA KUTOA TANGAZA LA KUZUIA WATU WAWILI WASIUZIWE POMBE

Soma na hizi

Tupia Comments