Top Stories

Basi la abiria lapinduka Arusha, watu wafariki ‘lilipasuka tairi’ (video+)

on

Watu wawili wamefriki dunia na wengine kujeruhiwa katika eneo la Makuyuni Wilayani Monduli Mkoani Arusha baada ya basi la kampuni ya Kimotco kupata ajali nakupinduka baada ya tairi ya gari kupasuka.

POLISI WAFYATUA MABOMU SINGIDA, WATU WARUSHA MAWE, MSAFARA WA BOT WADAIWA KUGONGA MTOTO

Soma na hizi

Tupia Comments