Video Mpya

VideoMPYA: Ladies & Gents nawaleta kwako Kings Music wakuburudishe na ‘Rhumba’

By

on

Record label ya Alikiba ambayo ni Kings Music imeidondosha video nyingine ya kuburudika nayo, ndani ya ngoma hiyo mpya utakutana na Abdukiba, Cheed, Killy na K2ga wakikuambia ‘Rhumba’ ikiwa imeongozwa na Kwetu Studios.

VIDEO: ICE BOY KAFUNGUKA ALIVYOMSAMEHE MWANAMKE WAKE ALIYEMSALITI BAADA YA KUTOKA NA RAFIKI YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments