Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: KUHUSU TUNDU LISSU! Kauli 15 za BAVICHA leo mbele ya Wanahabari
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > KUHUSU TUNDU LISSU! Kauli 15 za BAVICHA leo mbele ya Wanahabari
Top Stories

KUHUSU TUNDU LISSU! Kauli 15 za BAVICHA leo mbele ya Wanahabari

September 9, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Baraza la Vijana Chadema ‘BAVICHA’ leo September 9, 2017 wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la kupigwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu lililotokea September 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Dodoma.

Tangu hapo watu mbalimbali wamekuwa wakilielezea tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kuwatafuta waliohusika na tukio hili. Yapo mambo mengi BAVICHA wameyazungumza na miongoni mwao ni haya mambo 15 makubwa.

"Naanza na matukio ya ovyo ambayo yamelikumba Taifa hili ya mauaji. Kuna mauaji yaliwahi kufanyika na watu wasiojulikana." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana walimuua Msafiri Mbwambo kwa chenso ya kukatia miti kichwa kikatenganishwa na kiwiliwili." #BavichaPRESS.

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana mpaka leo hawajulikani na ndivyo hivyo hakuna taarifa rasmi ya matendo haya ya kinyama yanayofanyika." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Alikuja akauawa Dr Sengondo Mvungi mbobevu wa sheria na Mhadhiri wa UDSM amabye alihusishwa na siasa kutoka NCCR Mageuzi." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana walimuua Prof Juan Mwaikyusa kwa kupigwa risasi, akauawa. Watu wasiojulikana wana nguvu kuliko dola." #BavichaPRESS.

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Alphonce Mawazo aliuawa kinyama kwa kushambuliwa na visu. BAVICHA tuliandika barua tukiitaka Tume ya haki za binadamu" #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Ipo kwa mujibu wa Katiba kufanya uchunguzi kwa mujibu wa Ibara ya 130 jinsi inavyowataka kufanya uchunguzi na kutupa ripoti." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana wamefanya matukio mbalimbali ya utekaji, mtu unatekwa. Pengine hata mimi nikitoka ntatekwa." #BachivaPRESS.

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Zoezi la utekaji limefanywa na watu wasiojulikana wakamteka Ben Saanane mpaka sasa hivi hatujui kama yuko hai au ameuawa." #BavichaPRESS.

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Tuliandika barua na kulalamika juu ya hili, vyombo vya dola viko kimya hakuna taarifa hata za hatua za uchunguzi." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Sio lazima iwe Public lakini hata kwa sisi ambao ni wahusika wakuu wa jambo hili hata familia yake wangeweza kuona hatua zinazochukuliwa."

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana walimteka Dr Ulimboka na alibaki hai kwa bahati yake lakini kwa yaliyofanyika alipaswa auawe." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Watu wasiojulikana walimkata Absalom Kibanda na kumjeruhi mpaka leo jicho lake limejeruhiwa na watu wasiojulikana." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Hatua zinazostahiki hazikuchukuliwa kwa sababu ilifanywa na watu wasiojulikana." #BavichaPRESS.

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

"Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulina, amepatika na kuzungumza lakini alisema ni watu wasiojulikana." #BavichaPRESS

— AyoTV (@ayotv_) September 9, 2017

BREAKING: TAMKO LA BAVICHA BAADA YA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Mbowe kasimulia Tundu Lissu alivyopigwa risasi

Spika Ndugai asimulia Lissu alivyomiminiwa risasi

 

 

 

 

 

 

 

You Might Also Like

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao

Magaya, Gwajima, Waziri Mkenda wasaka dawa dhidi ya Ukatili

Alichokifanya Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa, Ulega afunguka “Ametoa kwa Yatima”

TAGGED: TZA HABARI
Admin September 9, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ”Niliambiwa niko kwenye orodha ya watu watakaotekwa” – Zitto Kabwe
Next Article BREAKING NEWS: Nyumba ya Tatu ya Lugumi inayopigwa Mnada
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?