Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bayern Munich wampa zawadi ya jezi shabiki aliye-hack website yao
Share
Notification Show More
Latest News
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Bayern Munich wampa zawadi ya jezi shabiki aliye-hack website yao
Sports

Bayern Munich wampa zawadi ya jezi shabiki aliye-hack website yao

September 23, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Club ya Bayern Munich ya Ujerumani imetangaza kumpa zawadi ya jezi ya Bayern Munich iliyosainiwa na Thomas Muller shabiki aliyekuwa ame-hack website yao.


Shabiki huyo aliyejulikana kwa jina la Daniel Martin amepewa zawadi hiyo baada ya ku-hack website ya club na kukuta taarifa za siri zilitaka kuvuja kisha kutatua tatizo hilo na kuzuiwa taarifa muhimu za club kutovuja kisha kutoa taarifa kwa club.

Daniel ni mtaalam wa masuala ya usalama wa taarifa za mtandaoni na alikuwa na dhamira ya kutembelea website ya club yake pendwa ila akuta kuna tatizo la configurations ambalo lingepelekea kuvuja kwa taarifa za siri za club ikiwemo taarifa za fedha.

Thomas Muller

Shabiki huyo amepewa jezi ya Muller kwakuwa Muller ndio icon ya club kwa sasa akiwa amefunga magoli 228 katika michuano yote ambaye amechezea club hiyo.

You Might Also Like

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

TAGGED: Sports
Rama Mwelondo TZA September 23, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Napoli wazuiwa kutumia sura ya Maradona kwenye jezi
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 24, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?