Michezo

Bayern kama Man U – Angalia walivyoichapa As Roma 7-1

on

article-2802124-226F1CAC00000578-604_964x395

Klabu ya Bayern Munich jana usiku iliwakumbusha mashabiki wa AS Roma kipigo cha mabao 7-1 walichokipata kutoka kwa Manchester United mwaka 2007-08, katika mchezo uliochezwa jana usiku kwenye dimba la Stadio Olimpico jijini Rome, Italia.

Bayern waliipa AS Roma kipigo hicho kupitia magoli ya Arjen Robben aliyefunga magoli 2, Lewandoski, GOtze, Riberry, Muller, Shaqiri

AS Roma 1 – 7 FC Bayern München __ Full Match… by ajmirkhanmohmmand

Tupia Comments