Top Stories

TRAILER: Ni mkao wa kuipokea Filamu ya “Jumanji The Next Level” (+Video)

on

Kwa wale wapenzi wa movies sasa mkae tayari  kuipokea filamu mpya ya “Jumanji The Next Level” amabyo itawashirikisha waigizaji kibao akiwemo Kevin Hart, The Rock (Dwayne Johnson), Jack Black, Ruby Roundhouse na wengine kibao.

Inaelezwa kuwa Trailer rasmi ya filamu hiyo imetoka na mpaka sasa imetazamwa na jumla ya watu Milioni 4 tokea iachiwe katika mtandao wa You Tube jana July 1,2019 na kampuni ya Sony Pictures Entertainment. Filamu hiyo inatajwa kuachiwa rasmi December 13, 2019 chini ya kampuni ya Sony Pictures ikishirikiana na Amblin Entertainment.

Jumanji The Next Level ni moja ya filamu inayosubiriwa kutazamwa kwa hamu ikiwa ni pamoja na kuwahusisha wakongwe katika industry ya uigizaji nchini Marekani na itaongozwa na watayarishaji Jake Kasdan na Joe Johnson.

VIDEO: MUZIKI WA ALIKIBA UMEMFIKIA KAMANDA WA POLISI KAGERA

Soma na hizi

Tupia Comments