AyoTV

“Kauli zetu zinaweza zisiifurahishe Serikali, hili ni tatizo kubwa” –Hussein Bashe (+Video)

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alisimama Bungeni Dodoma na kuchangia mapendekezo yake katika hoja tatu zilizowasilishwa na Serikali ambazo ni Hoja za kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, hoja ya kudumu ya uwekezaji ya bunge na mitaji ya umma, Hoja ya viwanda, biashara na mazingira ambapo Bashe alieleza namna ambavyo mzunguko wa fedha nchini unavyoshuka huku akiitaka Serikali kuyapokea maoni hayo hata kama haifurahishwi na kauli hizo.

“Maajabu ya Mlimani City hayajawahi kutokea isipokuwa Tanzania” –Mbunge Ruge

Soma na hizi

Tupia Comments