Top Stories

Baba Mzazi wa MO DEWJI “ni kweli Mwanangu ametekwa”

on

Leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji inadaiwa ametekwa watu wasiojulikana alfajiri ya leo akiwa anaingia Gym.

Waziri January Makamba ameadika katika Twitter yake hivi “Nimezungumza na baba yake . Habari za kutekwa kwa rafiki yetu Mo ni za kweli. Nimetikiswa sana. Naamini polisi watatoa taarifa kamili. Mohammed ana familia na watoto wadogo. Tumuombee yeye na familia yake. Tusaidie kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake.”

BREAKING: Imethibitishwa MO DEWJI katekwa “wamepiga risasi juu wakakimbia nae”

Soma na hizi

Tupia Comments