Habari za Mastaa

Hii ni ya kesho Ijumaa Dar es salaam mtu wangu! @bballkitaa @IamNchaKALIH

on

bballkwa wale ambao hawafahamu ni kwamba ni BBALL KITAA ambalo ni jukwaa la kukuza mpira wa kikapu kitaani pamoja na hip hop music.

Sasa kila Ijumaa moja ya mwezi huwa tuna kitu kinaitwa BBALL KITAA CHINI YA MATAA na ijumaa hii tunatafuta WHO RUNS DSM kwenye swala la kikapu ambapo tutakuwa na game moko kati ya UDSM VS CBE.
game itahappen katika viwanja vya GYMKHANA DAR kuanzia saa 1 usiku na haina kiingilio ndio maana nachukua nafasi hii kukualika, share na wenzako mtu wa nguvu.

Tupia Comments