AyoTV

“Tunawatia watu umasikini, hii sio haki” –Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameingia kwenye headline nyingine leo February 6, 2018 kutokea Bungeni wakati akichangia mapendekezo yake katika taarifa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2017 ambapo Bashe amekosoa hatua za Serikali kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwatia wananchi umasikini.

Majibu ya Serikali kuhusu kubaini wagonjwa wa akili Tanzania

Soma na hizi

Tupia Comments