Habari za Mastaa

Baba Nandy: “Walimpiga teke…. mpaka leo sijaiona na siitaki video yake na Billnass”

on

Wazazi wa Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ndio wameitambulisha ngoma mpya ya Nandy iitwayo ‘hazipo’ ambapo walifanya Exclusive Interview na millardayo na kuongea mengi, moja ya matamanio ya Watanzania wengi pia ni kuhusu kutaka kufahamu mtazamo wa Wazazi hawa kuhusu ile video ya Nandy na Billnass iliyovuja kwenye mitandao wakiwa mapenzini.

MAMA NANDY: ” NILIFATWA NIKABEBWA NA POLISI NANDY AKABAKI ANALIA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments