Videos

VideoMPYA: Banye katuletea mpya inaitwa ‘Brown colour’

on

Tunaendelea kupokea video mpya za Wasanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva) ambapo leo ni zamu ya Banye ambaye kwenye video yake ndani miongoni mwa walioonekana ni Idris Sultan….  itazame hapa chini kisha uache na comment yako.

VIDEO: Jay Z wa bongo hakujua Jay Z ni nani, alichukia…. Mtazame hapa chini kwenye hii video

Tupia Comments