Habari za Mastaa

Baada ya kufanya vizuri kimuziki Ciara arudi rasmi darasani

on

Mwimbaji Ciara ameamua kurudi shule ili kupata mafunzo zaidi na ametuonyesha jinsi gani atathamini kitu hicho kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kuanza rasmi masomo yake kwenye chuo cha Harvard kilichopo nchini Marekani.

“Ndoto yangu ya kusoma chuo imetimia, na nitajivunia huu wakati milele. Ni hisia nzuri kuingia darasani kila siku, kuungana na wanafunzi wenzangu, kufanya utafiti wa kesi, kuchunguza mazingira ya Harvard Usiache kuota, usiache kuamini” >>> Ciara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

May 14,2019 Missy Elliot ambaye jina lake kamili ni Melissa Arnette Elliott alitajwa kuwa msanii wa kwanza wa kike katika muziki wa Hip Hop kutunukiwa shahada ya uzamifu katika muziki na chuo kikuu cha Berklee College of Music.

VIDEO: ULIPITWA NA HII YA KUELEKEA NANDY FESTIVAL, WASANII SUMBAWANGA WAONESHA UWEZO WAO? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments