
Ni post nyingine inayomuhusu mwigizaji Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito kwa sasa na amekua akitajwa mapenzini na Moses ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, May 9 2015 ndio baby shower imefanyika nje ya jiji la Dar es salaam ambapo marafiki mbalimbali walijitokeza akiwemo Kajala.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.