Top Stories

Mtanzania alieshinda MILIONI 340 Marekani asema “sina gari, bado nitaendelea kupanda Taxi’ (+video)

on

Tanzania ilimfahamu baada ya kurudi Tanzania na kuweka wazi kwamba baada ya kusoma Marekani hakutaka kubaki huko na alikataa kazi yenye Mshahara wa zaidi ya MILIONI 425 ili arudi Tanzania, Benjamin Fernandes ndio huyohuyo leo hii ameshinda MILIONI 340 lakini hataki kununua gari na kwamba bado ataendelea kutembea kwa mguu… bonyeza play hapa chini kumtazama

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments