Mix

Umesheherekea wapi Merry Christmas? Beach za Dar ilikuwa ni noma… (Pichaz)

on

Siku za weekend ni kawaida watu kushinda nyumbani na familia au kuwa sehemu wakibadilishana mawazo, wengine hutumia muda huo kutembelea ndugu na jamaa.. lakini inapofika Sikukuu huwa tofauti, wapo wanaopendelea kwenda sehemu za kuenjoy zaidi kwenye ufukwe wa bahari.

Sasa hapa nimekusogezea picha 20 za watu mbalimbali wakisheherekea leo Dec 25 sikukuu ya Merry Christmas katika ufukwe wa bahari Coco Beach Dar es Salaam.

DSC_4762

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

Tupia Comments