AyoTV

VIDEO: Christian Bella na Hamadai walivyowanyanyua Waziri Mwijage na Mwigulu Nchemba

on

December 3 2016 Christian Bella na Hamadai walitoa burudani kwenye usiku wa CEO Round Table 2016 ambapo kwenye usiku huo waziri wa viwanda na uwekezaji, Charles Mwijage alimuwakilisha Rais Magufuli.

Nimekuwekea video hapa chini ya jinsi burudani  iliyotolewa na Christian Bella ilivyowanyanyua kwenye viti vyao Waziri Mwijage na Waziri Nchemba na kwenda kwenye stage kucheza, bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: Chistian Bella kwenye usiku wa CEO Round Table,

Tupia Comments