Habari za Mastaa

PICHA 12: Kutoka kwenye show ya Belle 9 na watu wake Morogoro

on

July 7,2016 mwimbaji staa wa bongofleva Belle 9 alitumia time yake kwenye stage usiku wa EID Pili baada ya kuwakutanisha mastaa wa Bongofleva kwenye jukwaa moja uwanja wa Jamhuri Morogoro.

Show hiyo ilipewa jina la BMS TOUR ilisindikizwa na wakali wengine bongoflevani akiwemo Izzo Bizness, Dayna Nyange, Afande Sele, Jay Moe, Mo Music, Stamina na Shilole.

.

Dayna Nyange

.

.

.

.

.

Izzo Bizness

.

Afande Sele, Belle 9 na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Profesa Jay

.

.

.

Profesa Jay

.

Shilole

.

.

.

Belle 9

.

.

.

.

ULIIKOSAA HII INTERVIEW YA BELLE 9 AKIWA KWENYE STUDIO ZA MILLARDAYO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments