Habari za Mastaa

Ujumbe unaohisiwa kuwa wa Belle 9 unaomdis Diamond Platnumz

on

Usiku wa March 2 kuamkia March 3 jina la mkali kutoka Bongoflevani Belle 9 lilirudi kwenye headlines baada ya kuonekana kwa post katika mtandao wa Instagram inamdis Diamond Platnumz lakini baadae inadaiwa kufutwa na account ya msaani huyo kufanyiwa mabadiliko ya jina.

Baada ya muda stori zilianza kuzagaa mitandaoni kuwa post hiyo sio ya kweli huku wengine wakisema kuwa ni Belle 9 ndio kaandika post hiyo na kuifuta, baada ya hapo akatofautisha jina lake la instagrama kwa nukta ili hasijulikane kuwa kapost yeye. Hizo ni tetesi tu ukweli bado millardayo.com inafuatilia

2016-03-03 05.55.04

Account ya Bellle 9 awali ilidaiwa jina kusomeka hivi, ila baada ya kupost picha na ujumbe huo na kufuta, account hiyo inatajwa kufanyiwa mabadiliko na kuondolewa nukta

millardayo.com inafuatilia undani wa tetesi hizi kwa pande zote mbili, ili kuweza kujua ukweli wa Belle 9 ana tatizo na Diamond Platnumz? au. Baada ya hapo nitakusogezea majibu hapa mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments