Ajali

VIDEO: Staa wa Bongofleva Belle 9 amefiwa na baba yake

on

Ayo TV na millardayo.com imezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Belle 9 mzee Damian Nyamoga aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.

Taarifa ilizozipata Ayo TV na millardayo.com kutoka kwa rafiki wa karibu wa Belle 9, Lulu Diva, mzee Nyamoga amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa katika Hospital alikowahishwa kwa ajili ya matibabu baada ya kugongwa na pikipiki wakati anavuka barabara.

Ayo TV na millardayo.com inatoa pole kwa familia ya Belle 9 na Mungu awape moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.

Bwana ametoa, na Bwana ametwaa…

Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments