Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ben Pol kuufunga mwaka 2020 kwa style ya kipekee
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Burudani > Ben Pol kuufunga mwaka 2020 kwa style ya kipekee
Burudani

Ben Pol kuufunga mwaka 2020 kwa style ya kipekee

December 28, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Ben Pol anatarajia kuuaga mwaka 2020 na kuukaribisha mwaka 2021 kwa staili ya kipekee.

Ben Pol anatarajia kufanya show kubwa ya Muziki wa Live na chakula cha jioni pamoja na mashabiki wake.

Show hiyo inatarajiwa kufanyika Ramada Hotel, Mbezi Beach Dar es salaam katika mkesha wa mwaka mpya 31.12.2020 ambapo ataanza kwa kujumuika katika chakula cha jioni pamoja na mashabiki zake watakaohudhuria usiku huo.

Ben Pol amesema, pia kutakuwa na michezo ya watoto, urushaji wa fataki pamoja na muziki wa live ukiongozwa na Ben Pol na bendi yake.

“Mashabiki zangu wamekuwa wakizipokea vizuri sana kazi zangu kwa zaidi ya miaka 10 sasa, Nashukuru kwa upendo na support kubwa wanayonipa, nina kila sababu ya kusherehekea kwa kujumuika nao kwa chakula na muziki mzuri wa live kwenye mkesha wa mwaka mpya, na hii haitoishia hapa”>>> Ben Pol

“Nitazunguka mikoani kufanya kitu kama hiki naomba nao pia wajiandae kunipokea tukijaaliwa uzima”>>> Ben Pol

Ben Pol kwa sasa anatamba na Wimbo wa Kidani  aliomshirikisha mkwe Anerlisa kwenye video.

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Picha: CRDB wazindua huduma ya Premier Banking nchini Burundi

Picha: Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi aipongeza benki ya CRDB ya Burundi kwa Miaka 10 ya Mafanikio

Major league Dj’z wameileta hii amapiano Balcony Mix wakiwa na Mellow & Sleazy

Bashungwa ateua Kamati Serengeti Music Festival

TAGGED: Bongo flevani
Rama Mwelondo TZA December 28, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article “Aondolewe kazini kuanzia sasa” Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi (+video)
Next Article Msiba wa Mngereza kinachoendelea nyumbani kwake (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?