AyoTV

Exclusive ya Ben Pol: ufafanuzi wa alichoandika kuhusu Alikiba

on

Mwimbaji staa wa bongofleva Ben Pol amezimiliki headlines za Tanzania kwa zaidi ya saa 20 zilizopita baada ya tweet aliyoiandika kwa mwimbaji Alikiba ambayo imeonekana kuwa na utata, utata uliopelekea na Alikiba kumjibu… kwenye video hapa chini Ben Pol ameeleza kila kitu tunachotakiwa kukifahamu.

Ben 2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments