Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

U-HEARD: Alichosema Fid Q baada ya picha za Ben Pol kuwa gumzo

on

Kati ya story ambazo zina-make headlines kwa sasa ni pamoja na picha za Mwimbaji waR&B kutoka Bongoflevani Ben Pol alizoziweka kwenye account yake ya Instagram ambazo zimekuwa gumzo.

Picha hizo zinamuonesha staa huyo akiwa mtupu na amefungwa kamba ambapo kutokana na kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kupitia U-heard ya XXL yaClouds FM Mtangazaji Soudy Brown alipiga story na Fid Q pamoja na Ben Pol ili kujua undani kuhusu picha hizo.

“Hiyo Idea mimi sihusiki nayo, sijui alikuwa anataka kuongelea nini kwenye ile cover japo wazo limekaa kama anatafuta kiki lakini binafsi sijioni huko, siwezi kuhukumu.” – Fid Q

ULIPITWA? Tazama hapa chini Wabongo walivyovaa kizamani kwenye party ya Sallam

Soma na hizi

Tupia Comments