Habari za Mastaa

AUDIO MPYA: Ben Pol na Mr. Eazi wa Nigeria wametuletea hii hapa ‘Phone’

on

Ikiwa bado hit song yake ya Moyo Mashine  inapata airtime ya kutosha kwenye TV na Radio stations Ben Pol amekutana na Mr Eazi wa ambaye ni mnigeria anayeishi Ghana, Mr Eazi ana hit songs zakutosha kama ‘Dance for me’, hollup na nyingine.  Hapa wametuletea audio yao mpya inayoitwa  ‘Phone’.

Unaweza kusikiliza hapa chini pia usiache kuniachia comment ili Ben Pol akisoma ajue watanzania wameipokea vipi hii>>>

Video:Ben pol alivyopanda Kifalme kwenye jukwaa la Fiesta Dodoma>>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments