Mix

AudioMPYA: Ben Pol katuletea single mpya ‘Tatu’ ft Darassa

on

Mwimbaji Ben Pol amerudi kwenye headlines za burudani ambapo leo May 24, 2017 ametuletea hii single yake mpya iitwayo ‘Tatu’ akimshirikisha staa mwingine wa Bongofleva Darassa. Unaweza kuchukua time yako kuisikiliza hapa chini mtu wangu…

Video :Ben Pol afunguka kuhusu picha zake za bila nguo >>>

Soma na hizi

Tupia Comments