Mix

Mtanzania aliyesoma kwa ada ya Tsh. milioni 365 Marekani

on

Inawezekana jina Benjamin Fernandes kwa wengi litakuwa geni, huyu ni Mtanzania ambaye anazidi kuzichukua headlines za kimataifa ikiwa ni pamoja na hii ya kuwa Mtanzania wa tatu kuhitimu chuo kikuu cha biashara namba moja duniani “Stanford Business” cha Marekani.

Ni Mtanzania wa kwanza kupata udhamini wa masomo (Scholarship) ya heshima kusoma chuo kikuu cha biashara Marekani Stanford Graduate School of Business ya dola 160,000 ambazo ni milioni 365 za Tanzania.

Historia yake pia inabebwa na kupata nafasi ya kufanya kazi kwenye taasisi ya tajiri namba moja wa dunia, Bill & Melinda Gates Foundation ambayo inahusika na kusaidia watu wasiojiweza sehemu mbalimbali duniani na hasa Afrika.

VIDEO: Benjamin ameeleza alivyopata kazi kwenye taasisi ya Bill Gates. Bonyeza hapa kutazama.

VIDEO: Pamoja na kusoma chuo cha Stanford Business Marekani, Benjamin aliwahi kuwa wa mwisho darasani. Bonyeza hapa kutazama zaidi.

VIDEO: Aliwahi kuingia salon na kunyoa bila kujua gharama zake, mfukoni hela haitoshi, ilikuwaje? Tazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments