AyoTV

Video: Mtazame Ben Pol kwenye stage moja na Mama yake Mzazi

on

Miaka 10 ya Christian Bella ilisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka Bongoflevani, Mrembo Maua Sama, Legendary Dully Sykes na bila kumsahau Ben Pol ambapo usiku ule aliweza kumtambulisha Mama yake Mzazi kwenye stage.

ULIMISS HII YA ALIKIBA, OMMY DIMPOZ, WEMA SEPETU NDANI YA STAGE MOJA NA CHRISTIAN BELLA ITAAME HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments