Habari za Mastaa

Pichaz za uzinduzi wa Movie 3 mpya ikiwemo aliyocheza Ben Pol.

on

14Kampuni ya Proin Promortion ambayo inashughulika na uongozaji na usambazaji wa filamu mbalimbali za Kitanzania ambapo February 20 2014 wamezindua Filamu mpya 3 ambazo zinategemewa kuingia sokoni hivi karibuni.

23Movie hizo ni pamoja na Network, Mdundiko na Sunshine ambayo ndani yake yupo mkali wa Rnb Tanzania mwimbaji Ben Pol ambapo uzinduzi ulifanyika Century Cinemax Oysterbay Dar es salaam na baada ya kuzinduliwa kila mmoja alipata nafasi ya kuchagua movie aliyotaka kuangalia.

benUpande wa waongozaji filamu hizi zimeongozwa na waongozaji[Directors]watatu ambao ni John Kalaghe,Karabani na Jackson Kabiligi kwa Jackson hii ni filamu yake ya kwanza kuiongoza na miongoni mwa mastaa walihudhuria ni pamoja na Dr.Cheni, Jb, Check budi, Marlow, Richie Rich, Ben Pol, Shaa, Master J na baadhi ya walioshiriki kwenye Filamu hizo.

Miongoni mwa filamu ambazo zimesambazwa na Proin Promotion mpaka sasa ni pamoja na ile ya Foolish Age aliyoigiza Lulu, Figo, Siri ya Mtungi, Long Time, Family Curse na Mapenzi ya Mungu.

49

48

45

44

43

42

41

40

39

38

37

35

34

33

30

29

28

27

26

25

24

23

22

20

19

18

13

12

11

10

9

8

7

5

4

1

Tupia Comments