Habari za Mastaa

Zaidi ya milioni 300 zimemtoka Peter wa P Square kununua hili gari jipya (Bentley GT 2014).

on

p spuare2Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake jipya lililomtoa zaidi ya milioni 300 kwenye pesa za kitanzania.

Peter na ndugu zake wawili ilisemakana hawakuwa kwenye maelewano kwa kipindi kifupi lakini baadae wote watatu wali-tweet maneno ambayo yaliashiria wamemaliza tofauti zao.
p spuare

p spuare3Unataka niwe nakutumia taarifa kila inaponifikia? ungana na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @MillardAyo

Tupia Comments