Top Stories

Bernard Membe athibitishwa kugombea Urais 2020 (+video)

on

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha ACT Wazalendo.

Soma na hizi

Tupia Comments