Michezo

Bernard Morrison akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora

on

Staa wa Simba SC Bernard Morrison leo July 27, 2021 amekabidhiwa rasmi tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi June 2021 wa mashabiki wa Simba SC, Morrison alichelewa kutokana na kuwa na majukumu ya kifamilia akaenda kwao Ghana.

 

TAZAMA SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA, WAMBEBA MORRISON JUUJUU AIPORT DSM

 

Soma na hizi

Tupia Comments