Michezo

Bernard Morrison wa Yanga akamatwa na Polisi

on

Staa wa Yanga SC raia wa Ghana Bernard Morrison akamatwa na Polisi wa doria leo mchana jijini Dar es Salaam na kufikishwa Kituo cha Polisi Oysterbay na kisha kuachiwa.

Morrison inadaiwa kuwa aligoma kukaguliwa na askari hao katika gari lake alilokuwa amepark baada ya askari hao kusikia harufu, Polisi wathibitisha.

“Askari walihisi harufu ya kutoka katika hiyo gari, sasa walipotaka kumfanyia upekuzi akagomea upekuzi huku akileta utata, ” >>> Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Edward Bukombe

Soma na hizi

Tupia Comments