AyoTV

Exclusive Interview: Berry Black hajasikika kitambo, haya ndio mapya kutoka kwake…(+Video)

on

Ni muda sasa tangu kusikika kwa headlines za wasanii Berry Black & Berry White ambao walikuwa wakijulikana kama ‘2 Berry’ mara baada ya kuachia hit song ya ‘Na wewe tu’ waliyomshirikisha producer Shirko stori zikaenea kuwa wawili hao wametofautiana na hawafanyi tena kazi pamoja.

Sasa hapa nakukutanisha na Berry Black ambaye anaeleza yote mwanzo mwisho kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments